29 Oct 2025 11:12 am | Citizen TV 1,035 views Duration: 1:48 Huku kampeni za kiti cha eneo bunge la Malava zinaposhika kasi, Gavana wa Kaunti ya Transzoia George Natembeya amesema kura ya uchaguzi huo mdogo ni ya kukomboa jamii ya Mulembe kutoka kwa umaskini na siasa mbaya.