Skip to main content
Skip to main content

Taharuki yatanda kufuatia mauaji ya watu wanne Pokot Magharibi

  • | Citizen TV
    996 views
    Duration: 2:46
    Taharuki imetanda katika kaunti ya Pokot Magharibi baada ya watu wanne kuuawa kwa kupigwa risasi ndani ya kipindi cha siku tatu. Hali hiyo imezua hofu miongoni mwa wakazi, huku viongozi wa eneo hilo wakitaka kikosi cha polisi kuimarisha doria na msako mkali dhidi ya wanaochochea uhasama baina ya jamii za wafugaji.