29 Oct 2025 1:28 pm | Citizen TV 578 views Duration: 5:09 Rais William Ruto ameendelea na ziara yake katika kaunti ya Nakuru huku akifungua miradi tofauti ikiwemo mashine ya ct scan katika hospitali ya PHG pamoja na kuanzisha mradi wa nyumba za bei nafuu.