- 250 viewsDuration: 3:26Kutokana na changamoto nyingi wanazokumbana nazo wajane na mayatima wengi mashinani, serikali kuu na za kaunti zimetakiwa kutenga fedha maalum za kuwasaidia kupambana na changamoto hizo hasa kiafya kwa wajane na elimu kwa mayatima. Ni wito uliotolewa katika hafla ya kuwahamasisha wajane na mayatima walio katika eneo bunge la Butula.