- 16,640 viewsDuration: 1:16Wananchi nchini leo wanashiriki uchaguzi mkuu baada ya miezi kadhaa ya kampeini katika taifa hilo jirani. Maelefu ya wananchi wameshapiga kura katika maeneo tofauti nchini humo lakini kumeshuhudiwa rabsha kufutia baadhi ya wananchi wanaopinga sera za rais Samia Suluhu Hassan kufanya maandamano na kupinga uchaguzi huo. Wananchi wanaopinga uchaguzi huo kufanyika wanadai Rais Samia ameongoza taifa kwa mabavu huku akihujumu haki za wapinzani wake.