- 1,367 viewsDuration: 4:07Zaidi ya wajumbe 4,000 wamekongamana kaunti ya Mombasa kwa tamasha za muziki ukanda wa afrika mashariki. Askofu mkuu wa kanisa la kianglikana Alphose Mwaro Baya na Naibu Gavana wa Mombasa Francis Thoya wametaka serikali kuanisha mfumo wa kuboresha talanta shuleni wakisema mashindano hayo ya kimataifa yanakuza utalii.