- 308 viewsDuration: 1:37Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewahakikishia wakaazi wanaoishi katika ardhi yenye mzozo ya Mwereni yenye zaidi ya ekari laki moja kuwa ardhi hiyo itagawanyiwa wakaazii takribani elfu 15 walioishi katika ardhi hiyo tangu jadi