Rais Ruto azindua soko la Ksh. 350M Dagoretti

  • | Citizen TV
    936 views

    Rais William Ruto anaendeleza ziara yake katika kaunti ya Nairobi kwa siku ya tatu hii leo kwa kuzuru mitaa tofauti na kukagua na kuzindua miradi mbali mbali