"Katika miaka 25 lazima turudishe ya maendeleo ijadiliwe na vijana"

  • | BBC Swahili
    1,467 views
    Tanzania imezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Dira hii ni maoni ya wananchi wote ambapo kwa miaka 25 ijayo wamedhamiria kujenga Taifa jumuishi, lenye ustawi, haki na linalojitegemea. #bbcswahili #tanzania #dirayataifayamaendeleo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw