- 579 viewsDuration: 2:43Awamu ya kwanza ya mtihani ya kitaifa imekamilika huku wanafunzi wa gredi ya sita wakikamilisha mtihani wao wa KPSEA. Aidha wanafunzi wenye mahitaji maalum pia wamekamilisha mtihani huku wenzao wa gredi ya tisa wanaofanya mtihani wa KJSEA wakiendelea kote nchini. Tathmini ya mtihani wa KPSEA ulichora utu wa kijiji kimoja kaunti ya Bomet ambako wakaazi walishikana kuhakikisha mwanafunzi mlemavu anafika kituo cha mtihani kila siku