Roboti za kuwatibu wagonjwa.

  • | BBC Swahili
    607 views
    Madaktari Afrika Kusini wanatumia teknolojia ya roboti kutoa matibabu hasa katika nyanja ya upasuaji. Roboti hizi zina mikono minne na zinadhibitiwa kwa wakati halisi. #bbcswahili #sayansi #africa