Kwa nini tende ndiyo hutumiwa kufungua saumu?

  • | BBC Swahili
    3,377 views
    Katika mwezi huu wa Ramadhan, moja ya vyakula vinavyoliwa kwa wingi zaidi ni tende. Mariam Mjahid anaelezea faida za Tende #bbcswahili #ramadhani #tende Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw