Maelfu ya watu bado wamekwama kwa vifusi Myanmar, katika Dira ya Dunia TV Jumatatu 31/03/2025
Ni siku tatu sasa tangu tetemeko kubwa la ardhi la kipimo cha 7.7 kupiga taifa la Myanmar, na sasa mashirika ya kimataifa ya misaada yameonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika taifa hilo. Umoja wa Mataifa umeomba msaada wa dola milioni 8 za Kimarekani, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likisema kuwa hospitali zimelemewa kutokana na ongezeko la majeruhi. Pia kuna hatari ya kuzuka kwa magonjwa, na maelfu ya watu waliokimbia makazi yao wanahitaji chakula, maji na dawa.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- The changes will influence how lenders operate.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million
7 Aug 2025
- This comes after women demonstrated complaining of sexual harassment and assault by drunk men.
7 Aug 2025
- In his message of condolence, the head of state described it as a profound loss for the country.
7 Aug 2025
- The Directorate of Criminal Investigations says the apprehended suspects were found in possession of pangas.