31 Oct 2025 10:23 am | Citizen TV 1,945 views Duration: 1:43 Mgawanyiko umeanza kujitokeza katika chama cha ODM kaunti ya Kwale, baadhi ya wanachama wakilaumu uongozi wa chama kaunti hiyo kwa kutotoa mwelekeo wa jinsi shughuli za chama zitaendeshwa.