31 Oct 2025 10:25 am | Citizen TV 280 views Duration: 1:07 Rais William Ruto aliahidi kutoa vifaa vya matibabu vya thamani ya Shilingi milioni 150 kupitia Mpango wa Huduma ya Vifaa vya Kitaifa (NESP) kwa hospitali mpya ya Butere kaunti ya Kakamega