31 Oct 2025 10:08 am | Citizen TV 6,759 views Duration: 1:09 Shughuli za biashara na uchukuzi zimetatizika katika eneo la Isebania mpakani mwa Kenya na Tanzania huku maandamano ya kupinga uchaguzi mkuu katika nchi jirani ya Tanzania yakishika kasi