- 4,475 viewsDuration: 1:05Polisi kutoka kituo cha Polisi cha Maguguni katika eneo la Thika Mashariki, Kaunti ya Kiambu, wameanzisha msako mkali baada ya bunduki mbili na risasi kuibwa kutoka Kituo Kidogo cha Polisi cha Maguguni, ambacho kiko chini ya Kituo Kikuu cha Polisi cha Ngoliba.