- 244 viewsDuration: 1:04Waziri wa afya Aden Duale ameongeza sauti yake kwenye sheria ya kudhibiti uhalifu wa mtandao akisema itazuia hasa watoto kupata picha za kupotosha maadili au kujifunza kutumia dawa za kulevya. Duale aliyasema hayo wakati wa maadhimisho ya miaka 100 ya Msikiti wa Jamia na kubadilisha jina la Horizon TV kuwa Jamia TV hapa jijini Nairobi.