- 2,498 viewsDuration: 2:00Familia ya marehemu Cynthia Shikuku Chelangat mwanafunzi wa gredi ya tisa katika shule ya msingi ya Enkoiperien wadi ya Ang'ata Barrikoi Kaunti ya Narok aliyenajisiwa kisha kuawa, inaitaka serkali kuharakisha uchunguzi na kuwanasa wahusika wa uhalifu huo.