Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bula Iftin huko Garissa wahangaika kwa kukosa maji

  • | Citizen TV
    333 views
    Duration: 2:20
    Huku hali ya kiangazi ikizidi kuwa mbaya katika maeneo mengi kaunti ya Garissa, wenyeji wa kijiji cha Bula Iftin sasa wanataka idara ya maji kaunti hiyo kukamilisha mradi wa maji wa Maramtu ili kuwapunguzia tatizo la uhaba wa maji.