Je, Sahel ndiyo sehemu hatari zaidi duniani?
Tangu ukanda huo upate uhuru kutoka kwa wakoloni wa Magharibi katikati ya karne ya 20, nchi za Sahel zimepitia mapinduzi ya kijeshi mara kadhaa kwa viwango tofauti.
Mnamo 2024, kwa mara ya kwanza, eneo hilo lililoko kusini mwa Jangwa la Sahara pia lilishuhudia zaidi ya nusu ya “vifo vyote vinavyohusiana na ugaidi” duniani, kwa mujibu wa Global Terrorism Index.
Je ni nini kinafanya eneo hili lenye hali ya ukame wa wastani kuwa lenye misukosuko mingi?
Esther Namuhisa anaelezea
00:01 Utangulizi
00:44 Sahel ni nini?
02:02 Utawala mbovu
04:10 Hali ya kutokuwa na usalama
07:58 Ushawishi wa Kigeni
12:35 Nini kinachofuata?
#bbcswahili #sahel #ugaidi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
7 Aug 2025
- A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
7 Aug 2025
- Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million