"Hii dhana ya kuzuia uchaguzi, utekelezaji wake hauonekani hata kwa tochi"
Kimeibuka kikundi ndani ya chama kikuu cha upinzani Chadema kinachojiita G-55.
Katika siku za hivi karibuni kimeibua mjadala katika mitandao ya kijamii hasa baada ya waraka wao kuibuka ukionesha kupinga mkakati rasmi wa Chadema kuelekea uchaguzi mkuu uitwao ‘No reforms, no elections’.
Kundi hili, ambao wanadai wapo zaidi ya watu 55, waliowahi kuwa wagombea ubunge majimbo mbalimbali, watia nia wa ubunge waliopo sasa, wanadai wamepata wito kutoka kwa watia nia wa udiwani wanaotaka kujiunga na kundi.
#bbcswahili #chadema #tanzania
ThumbnailSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
16 Jun 2025
- The police constable who was first arrested in connection to Ojwang's death has spoken up.
16 Jun 2025
- The weatherman has also listed regions that are expected to experience cold temperatures.
16 Jun 2025
- The late Albert Ojwang's father revealed details of a phone conversation with the president.
17 Jun 2025
- Ruto government had promised to double allocation and raise number of beneficiaries.
17 Jun 2025
- Firm opposes DPP plan to withdraw Sh918m case against businessman
17 Jun 2025
- What Kenya can do to reduce the high number of bad loans
17 Jun 2025
- Gachagua credits survival to State insider network
17 Jun 2025
- KQ searches for new partner to set up regional airline after S Africa bolts out
17 Jun 2025
- Who benefits from CBK's low lending rates?
17 Jun 2025
- Meeting state force with care: How medics, lawyers and counsellors sprang to action
17 Jun 2025
- Mukhwana: I was following my boss' orders
17 Jun 2025
- How 'Standard' covered the Ojwang' murder
17 Jun 2025
- Gachagua’s critics gang up to front alternative political outfits in vote-rich region.