Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya kina mama 100 wakwama Mama Lucy kwa kukosa kulipa bili ya matibabu

  • | Citizen TV
    2,219 views
    Duration: 3:02
    Zaidi ya kina mama mia moja katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki wamesalia hospitalini baada ya kujifungua kwa kukosa kulipa bili ya matibabu. Wengi wao ni kina mama wenye umri mdogo ambao wanaishi Kayole, huku wawili wakitoka nchi jirani.