Skip to main content
Skip to main content

Afueni ya ada ya Vitambukisho

  • | Citizen TV
    11,520 views
    Duration: 2:38
    Serikali imetangaza kuondolewa rasmi kwa ada ya kubadilisha ama kurekebisha kitambulisho cha kitaifa kwa miezi sita ijayo. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesema hatua hiyo itawasaidia wakenya kujisaliji kama wapiga kura. Awali rais ruto alikuwa wametangaza kuwa ada hiyo ingeondolewa hadi baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.