Matukio Mtambuko : Kampeni za lala salama

  • | TV 47
    711 views

    Meneja Mratibu Transparency International Kenya Abraham Misoi, Meneja wa Mipango Amnesty International Diana Gichengo na Davis Tayo Mchanganuzi wa siasa na Mshauri wa mgombea urais David Mwaure wanazamia swala la kampeni za lala salama.

    "Rais na Naibu wake ikiwa hawafanyi kazi vizuri tena, jambo nzuri ni mmoja ajiuzulu tuwe na watu wawili wanafanya kazi kwa pamoja" Diana Gichego

    "Rais ana haki yake ya kikatiba ya kusema anaona mambo yaende upande huu lakini ofisi na taasisi zote za serikali zisitumike" Davis Tayo

    "Kura yako ni silaha ya kuhakisha kwamba ukitaka ufisadi utoke Kenya ni kura yako itafanya ufisadi utoke, ukitaka uongozi wenye uadilifu mwema ni kura yako itafanya viongozi wenye uadilifu wawe kwenye vyeo" Abraham Misoi #matukiomtambuko #kenyaelections #kenyadecides