KIFO CHA PAPA FRANCIS KUFUATWA NA UCHAGUZI WA PAPA MPYA

  • | K24 Video
    29 views

    Kifo cha Papa Francis kinatarajiwa kufuatiwa na uchaguzi wa Papa mpya wa Kanisa Katoliki duniani, ambao hufanyika wiki mbili hadi tatu baada ya kifo au kujiuzulu kwa Papa. Ian Keitany anaangazia mchakato huo na majina yanayopigiwa upatu kumrithi Papa Francis, Papa wa kwanza kutoka Amerika Kusini.