SENETI YAITUHUMU SERIKALI KUU KWA KUKANDAMIZA UGATUZI

  • | K24 Video
    23 views

    Seneti imeikashifu serikali kuu kwa kuingilia majukumu ya serikali za kaunti na kuwanyima rasilimali za kutosha. Ikiongozwa na Seneta wa Vihiga, Godfrey Osotsi, wamesema mipango ya Rais Ruto ya kuzindua masoko, kukusanya ushuru wa barabara za kaunti na kujenga hospitali za kiwango cha tatu ni kinyume na katiba, wakimtaka aheshimu ugatuzi.