17 kuwania urais Tanzania, lakini Luhaga Mpina atemwa nje, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    4,880 views
    Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imewateua wagombea 17 kuwania nafasi za urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, huku mgombea wa chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina akizuiliwa kurejesha fomu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw