Hospitali ya rufaa na mafunzo ya Jaramogi Oginga Odinga yapandiswa hadhi

  • | NTV Video
    57 views

    Kupanda hadhi kwa hospitali ya rufaa na mafunzo ya Jaramogi Oginga Odinga katika kaunti ya Kisumu kutasaidia pakubwa kutoa matibabu kwa wagonjwa wanaougua saratani ya uzazi kutoka kaunti takriban ishirini zilizoko karibu na kaunti hiyo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya