Fidia Ya Mai Mahiu: Peter Mbae ameihimiza serikali kutimiza ahadi za kuwasitiri upya wahanga

  • | NTV Video
    51 views

    Aliyekuwa mkuu wa huduma serikalini Daktari Peter Mbae ameihimiza serikali kutimiza ahadi za kuwasitiri upya waathiriwa wa mkasa wa mai mahiu uliosababisha maafa ya watu 63 kama ilivyoahidi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya