Kufuzu kwa Mahafala wa Ufundi wa Magari katika Chuo cha Kiufundi cha Nairobi

  • | KBC Video
    48 views

    Mkuu wa chuo cha kitaifa cha mafunzo anuwai jijini Nairobi Glory Mutungi akizungumza wakati wa hafla ya kuhitimu kwenye taasisi hiyo aliitaka serikali kutunga sheria zinazozuia urundikaji wa magari na vifaa vya kielektroniki vilivyotumika humu nchini na kuweka miongozo na taratibu madhubuti za kuchakata. Haya yanajiri huku kukiwa na wito wa ushirikiano kati ya taasisi za TVET na wizara husika ili kufanikisha na kuboresha mpango huo

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News