Kocha wa Harambee Stars Bennis McCarthy aendelea kunoa wachezaji wake kwa kipute cha CHAN 2024

  • | NTV Video
    1,657 views

    Kocha wa Harambee Stars Bennis McCarthy amefichua kuwa alikuwa na hamu ya kumwita nyota wa Rising Stars Aldrine Kibet kabla mshambulizi huyo kujiunga na timu ya pili ya Celta Vigo. McCarthy anaendelea kunoa timu yake kwa kipute cha CHAN 2024 kitakachong'oa nanga tarehe mbili mwezi wa Agosti.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya