Mwanafunzi James Gachara, aliyefariki baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Saba Saba, azikwa

  • | NTV Video
    3,196 views

    Jaribio la maafisa kutoka Idara ya Upelelezi (DCI) kuchukua udhibiti wa programu ya mazishi ya James Gachara, aliyefariki baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Saba Saba liligonga mwamba, baada ya kanisa na mashirika ya haki za binadamu kuingilia kati.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya