Duale: Hakuna pesa zitakazolipwa kwa huduma hewa

  • | KBC Video
    72 views

    Serikali imeanzisha kauli ya idadi ya vitanda vinavyofaa kuwa katika hospitali kwa kimombo “Bed Capacity Access”, kama sehemu ya mageuzi chini ya halmashauri ya afya ya jamii SHA, inayolenga kuondoa ulaghai katika utoaji wa huduma za matibabu. Waziri wa afya Aden Duale amesema serikali itatoa malipo kwa hospitali zilizosajiliwa na kuidhinishwa kwa huduma halisi zilizotolewa. Duale ameshikilia kwamba huduma za msingi za matibabu zinasalia kuwa bila malipo katika hospitali za umma za ngazi za level 1,2, na 3, na kuwaonya wagonjwa dhidi ya kutoa malipo yoyote katika hospitali hizo. Wycliffe Oketch anaarifu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive