Biashara I Sera kuratibiwa kuafiki utendakazi bora serikalini

  • | KBC Video
    3 views

    Wahifadhi wa kumbukumbu katika taasisi za serikali watapewa mafunzo na vifaa vya kisasa ili kukabilana na uhifadhi duni wa takwimu na kuimarisha ushirikiano.Katibu wa ICT na E-Government Mary Karema amesema serikali inafanyia mabadiliko sera ili kurasimisha ubadilishanaji wa habari kati ya taasisi mbali mbali mbila kuathiri uadilifu,usalama na kuvuruga habari.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive