Nchi tatu zenye migogoro mikubwa zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    2,098 views
    Ripoti ya hivi karibuni ya Amani ya Dunia ya mwaka 2025 – Global Peace Index imeonesha kuwa usalama barani Afrika bado unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara. Je, unajua kwamba kwa sasa nchi tatu kati ya kumi zenye migogoro mikubwa zaidi duniani zinapatikana barani Afrika? Na kwamba zaidi ya watu milioni 122 wamelazimika kuhama makazi yao kwa nguvu? Mwandishi wa BBC @frankmavura anakupitisha katika safari ya kina kuangalia nchi 5 hatari zaidi kwa usalama barani Afrika kulingana na ripoti ya mwaka huu. Kufahamu Tanzania na Kenya inasimama nafasi ya ngapi, tembelea ukurasa wetu wa YouTube: BBC News Swahili. #bbcswahili #amani #afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw