Mahakama yaagiza kukamatwa kwa mbunge Koimburi

  • | KBC Video
    1,802 views

    Mahakama ya Milimani imetoa agizo la kukamatwa kwa Mbunge wa Juja George Koimburi na washukiwa wengine wawili kwa kukosa kufika mahakamani kujibu mashtaka ambapo wanadaiwa kupanga kujiteka nyara kwa mbunge huyo. Mbunge huyo alishtakiwa bila kuwepo mahakamani Jumatano pamoja na mwakilishi wadi wa Kanyenya-ini Grace Nduta Wairimu na wengine watano. Wakati uo huo, mshtakiwa wa mauaji ya Rex Masai wakati wa maandamano ya kupinga serikali ya mwaka 2024 amekana kuwa afisa wa polisi aliyenaswa kwenye picha. Hii hapa tasnifu ya Mizani ya Haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive