Wakazi wa maeneo kavu ya Kieni na Laikipia wamenufaika na matangi ya maji

  • | NTV Video
    67 views

    Kama njia moja ya kuimarisha kilimo katika maeneo kavu ya Kieni na Laikipia, wakazi wa maeneo hayo wamenufaika na matangi ya maji, ufadhili uliotolewa na mradi wa maji wa Mutitu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya