Wapenzi wawili wafikishwa mahakamani Mombasa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji

  • | Citizen TV
    5,096 views

    Wapenzi Wawili Wamefikishwa Mahakamani Mjini Mombasa Kwa Tuhuma Za Kuhusika Na Mauwaji Ya Mwanamke Ambaye Mwili Wake Ulipatikana Umekatwa Vipande Eneo La Likoni. Wawili Hao Wanadaiwa Kuhusika Na Mauaji Ya Jane Achieng Aliyedaiwa Kuwa Na Uhusiao Na Mshukiwa, Na Ambaye Hadi Leo Sehemu Za Viungo Vyake Havijulikani Vilikotupwa. Na Kama Francis Mtalaki Anavyoarifu, Maafisa Wa Dci Sasa Wanawatafuta Waganga Wawili Wanadaiwa Pia Kuhusika