Profesa Wainaina arejeshwa kama Naibu Chansela KU

  • | KBC Video
    931 views

    Prof. Paul Wainaina amerejeshwa kwenye wadhifa wake wa naibu chansela wa chuo kikuu cha Kenyatta kufuatia uamuzi wa mahakama kuu uliotangaza kwamba aliondolewa wadhifani kinyume cha sheria. Kwneye uamuzi uliotolewa leo mahakama ya ajira na mahusiano ya kikazi ilibatilisha hatua za tume ya kuwaajiri watumishi wa umma na baraza la chuo kikuu cha Kenyatta na kuagiza kwamba Prof. Wainaina arejeshwe wadhifani mara moja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive