Makamishna wa IEBC watakaoteuliwa wahimizwa kuwajibika

  • | KBC Video
    40 views

    Baadhi ya mashirika ya kijamii yamewahimiza makamishna wapya watakaoanza kuhudumu katika tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC wadumishe viwango vya juu vya uadilifu ili kuimarisha imani ya raia katika taasisi hiyo. Mashirika hayo pia yalitoa wito kwa taasisi hiyo kuzingatia katiba kikamilifu na kuhakikisha usawa katika mchakato wa uchaguzi. Waliyasema hayo wakati wa mkutano wa siku moja ulioandaliwa na mahakama ya kimataifa kuhusu haki tawi la humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive