Rais Ruto asema mikopo ya maendeleo itasitishwa

  • | KBC Video
    20 views

    Rais William Ruto amesema serikali yake haitakopa tena pesa ili kufadhili miradi ya maendeleo. Rais amesema serikali itatumia mbinu mbadala za ufadhili kama vile ushirikiano kati ya sekta za kibinafsi na umma ambazo hazitaongeza mzigo wa madeni humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive