Biashara I Benki zahimizwa kurahisisha mikopo ya pikipiki za umeme

  • | KBC Video
    17 views

    Baraza la mfumo wa utoaji risiti za uhifadhi bidhaa kwenye maghala linakadiria maombi ya maghala zaidi ya 500 ambayo yametuma maombi ya kujumuishwa kwenye mfumo huo. Mwenyekiti wa baraza hilo Felicity Biriri amesema baraza hilo litajumuisha bidhaa nne zaidi kwenye mfumo huo na akaitaka Benki Kuu ya Kenya kuharakisha utaratibu wa kuidhinisha bidhaa za taasisi za mikopo ili kuwafaidi wakulima zaidi. Taarifa hii na nyingine kwa kina ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive