Je ni nani amemshambulia Padri Kitima?

  • | BBC Swahili
    16,417 views
    Polisi nchini Tanzania wanasema kwamba uchunguzi wa shambulizi dhidi ya Padri Kitima usiku wa jana unaendelea wakiwa katika harakati za kuhakikisha waliotekeleza shambulizi hilo wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka mara moja. - Je, ni nani alitekeleza shambulio hilo na kwa sababu gani? - Hamida abubakar anachambua hilo mubashara saa tatu usiku kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahil - - - #bbcswahili #tanzania #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw