Afrika yaipiku Ulaya kwa idadi ya kubwa ya Wakristo

  • | BBC Swahili
    2,742 views
    Utafiti wa Pew waonyesha kuwa kuzaliwa kwa wingi kwa waumini barani Afrika na kupungua kwa waumini Ulaya kumeifanya Afrika kuongoza duniani kwa idadi ya Wakristo. Huku, Idadi ya Waislamu imeongezeka kwa wafuasi milioni 347 zaidi ya dini nyingine zote kwa pamoja, - - #bbcswahilii #dini #ukristo #uislamu #utafiti #wakristo #waislamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw