Kituo cha afya cha Loolakir chafunguliwa rasmi

  • | Citizen TV
    103 views

    Wakazi wa eneo la Loolakiri huko Kajiado kusini wamepata afueni baada ya kufunguliwa rasmi kwa kituo cha afya, wakisema sasa watapata huduma za matibabu karibu nao.