Maoni yatolewa katika maeneo bunge yote nchini kuhusu hazina ya NG-CDF

  • | Citizen TV
    146 views

    Wakaazi wa eneo bunge la Kibwezi magharibi kaunti ya makueni wamepinga vikali uwezekano wa kuondoa hazina ya ustawi wa maeneo bunge NG CDF kutoka mikononi mwa wabunge wakisema hatua hiyo italiruidisha taifa nyuma kimaendeleo mbali na kuathiri pakubwa elimu ya watoto wengi wanaotgemea hazina hiyo.