Mama ateketea hadi kufa nyumbani kwake Malinya eneo la ikolomani

  • | Citizen TV
    1,093 views

    Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Malinya eneo la ikolomani kaunti ya Kakamega baada ya mama mmoja kutekea hadi kufa ndani ya nyumba yake