Washukiwa watatu wa mauaji ya Gaala Adan Abdi wafikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    2,169 views

    Wakazi na wanachama wa mashirika ya kijamii walijitokeza katika mahakama ya Wajir kushuhudia kufikishwa mahakamani kwa washukiwa watatu wa mauaji ya msichana mkimbizi mwenye umri wa miaka 17, Gaala Adan Abdi. Gaala aliuawa kwa kukataa kuolewa na mwanaume aliyezidi umri.