Lissu kusitisha mgomo wa kula. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    3,608 views
    Kesi ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu imesikilizwa leo katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, ambapo Lissu anakabiliwa na mashitaka ya uchochezi na uhaini. Kesi hii iliendeshwa kwa njia ya mtandao, ambapo Lissu aligoma kujiunga ikiwa ni sehemu ya matakwa yake kwamba apelekwe mahakamani.